2222222222222222222222.jpg

Media Folder:
Matarajio:
- Wadau kuainisha vipengele vya sheria ya Wanyamapori ambavyo vinahitaji maboresho ili kuongeza ufanisi katika utekelezaji wake.
- Kuja na mapendekezo yatakayoboresho sheria ya wanyamapori
- Mpango wa utekelezaji wa muda mfupi kulingana na vipaumbele vya wadau.
Moja ya malengo ya mradi huu ni pamoja na kuelimisha Umma kuhusu sheria za uhifadhi, utekelezaji wake na kupata mapendekezo yatakayosaidia uboreshaji wa sheria hitoka kwa wadau mbalimbali wakiwemo watunga sera, sheri na kanuni, wasimamizi na watekelezaji wa sheria hizo.
Wadau wanaoshiriki mkutano huu ni pamoja na Mazingira Network, Tanzania Association of Tour Operator, Tourism Confederation of Tanzania, Community Wildlife Management Area Consortium, The Nature Conservancy, Ujamaa Community Resource Team, Tanzania Private Sector Foundation, Maliasili initiative na Honey-guide foundation.
Relevance: