Organization:
Tanzania Natural Resource Forum
Deadline:
19 February 2021
tangazo_miradi.png
Media Folder:
Tangazo linatolewa kwamba, jamii za wafugaji kwa kupitia mashirika yao yaliyosajiliwa (NGOs, CBOs, FBOs) wanakaribishwa kuomba misaada ya maendeleo kwa miradi ifuatayo:
- Utunzaji wa misitu iliyo katika vijiji vyao;
- Miradi ya mabwawa ya maji kwa ajili ya matumizi ya binadamu na mifugo;
- Uandishi na usambazaji wa vitabu kuhusu njia za asili za uhifadhi wa misitu, mazingira na vyanzo vya maji;
- Michakato ya upatikanaji wa Hati za ki-kimila kwa maeneo yanayokaliwa na jamii za wafugaji; na
- Maendeleo ya miradi ya mashamba ya malisho ya mifugo.
How to Apply:
Maombi hayo yatumwe kwa:
Mkurugenzi Mtendaji
Jumuiko la Maliasili Tanzania (TNRF)
S.L.P 15605
Arusha
Kwa mawasiliano zaidi: 0652468219
Mwisho wa kutuma maombi ni Ijumaa, tarehe 19 Februari, 2021.
Attachment | Size |
---|---|
Msaada wa miradi ya maendeleo kwa jamii za wafugaji | 196.07 KB |